STEPHEN MUGWE

MIMI STEPHEN MUGWE, NAAPA YA KWAMBA NITAPIGA KURA TAREHE NANE MWEZI WA NANE MWAKA ELFU MBILI KUMI NA SABA NA SITAJIHUSISHA NA VITA ILA NITAZINGATIA AMANI NA UPENDO SABABU KENYA NI NCHI YETU MIMI NA JIRANI ZANGU. SITAKUBALI KUPIGANISHWA NA WANASIASA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *