sheikha hamza

wakenya wapendwa tunapaswa kujenga na kudumisha amani katika nchi yetu ya kenya haswa tunapo elekea msimu huu wa kura. ukabila, unyanyasaji lazima tuvifungie katika kaburi la sahau. umoja, upendo na amani tuvipeni kipau mbele tuewze kuijenga nchi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *