Mungu alitaka tuishi pamoja,
Angetaka angeumba kabila moja,
Rainbow ni colorful rangi zikiwa pamoja,
Pudding ni tamu matunda ikiwa pamoja.
Tingiza kidole moja WE R ONE watu moja
#TribeAll #EkoEffect
Unga Wa Dola
Mungu alitaka tuishi pamoja,
Angetaka angeumba kabila moja,
Rainbow ni colorful rangi zikiwa pamoja,
Pudding ni tamu matunda ikiwa pamoja.
Tingiza kidole moja WE R ONE watu moja
#TribeAll #EkoEffect