Sheikha hamza

Wakenya wenzangu hizo shanga kama tunavyo ziona zimeungana bila kubaguana,tunapaswa tudhihirishe muungano wa amani katika nchi yetu tukufu ya Kenya. Haswa tunapo elekea uchaguzi mkuu wa viongozi. Umoja, amani na upendo ndio ngao yetu ya jamuhuri ya k

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *