Muhammed Shiri

A a
Nikauli ya amani
Vita tuzipige vita
Tarehe 8 augosti
Itafika baadae itapita
Nadhani sote maishani
Mifano Mifano tumeikuta
Amani nimahitaji
Kura zenda zikirudi.

Twaona mengi maishani
Wenzetu walo majirani
Havifai vita aslaani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *