Mohamed Shekhuna

Hii ni shoot ndogo nmefanya nyumbani kwangu, kuonyesha umuhimu wa kutoa taarifa za ukosefu wa usalama, hata Kama mtendaji ni mtu wako wa karibu

Mohamed Shekhuna

Ni shoot ndogo nimeifanya kwangu kuonyesha umuhimu wa kuambiana kufatilia uchanguzi na matokeo kwenye vyombo vya Habari. Child background is to show am at home

Mohamed Shekhuna

Hii ni shoot ndogo nimrfanya nyumbani kusisitiza mtu kurudi kwake baada ya kupiga kura. Fatilizia matokeo kwenye vyombo vya habari, child background is to am really at home.

Mohamed Shekhuna

Amani ni muhimu sana, wacha ubinafsi hata Kama ni mwanao, ndugu yako au mtu yeyote wakaribu, ripoti uokoe kenya. Piga 108 kwa usaidizi wa haraka

Patrick Ngure

This is a poem.Its a call for peace and love and most importantly a reminder that we are all United by nationality,A reminder of the reasons why we should keep our peace as country our first priority.A reminder of why no one should divide us.

Natasha

A spoken word piece on peace, from a Rwandan girl to her Kenyan brothers and sisters. Because Africans must stand together in this quest for peace 🙂

Title: Peace Need Not Be A Dream

SHEE ALI NZORI

It is a poem originally composed by myself to spread the love and peace during this special time in the history of Kenya through the best way i know how which is poetry.The poem talks about the need for peace for the better of our future generation.